Isaiah 24:5


5 aDunia imetiwa unajisi na watu wake;
wameacha kutii sheria,
wamevunja amri
na kuvunja agano la milele.
Copyright information for SwhKC